thedaydreamer
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 372
- 88
hiz ni tv series zilizo chini ya genius chuck lorre, jamaa ana asili ya israel na moja ya vitu vinavyofanya asifike ni hz series, 2 n half men kidogo ilichange baada ya charlie sheen kufukuzwa kutokana na tabia zake za ulevi ila walden kaziba gep, the big bang theory ni shidaaa, karibu kuchangia kwa anyezifatilia, kwanin unazipenda na ip ni best