Wewe facebook ni chama lingine,haifananishwi..labda mpinzani wake atakuja baadae,kwanini basi? facebook ni open source project,inaruhusu software developer yeyote kuchangia kuijenga hivyo basi ,kila siku inakuja na features mpya .Ni zaidi ya social network,ni darasa kwa wanafunzi pia.