ZionTZ
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,283
- 538
Nimekutana na hii huku hewani a.k.a internet nikaona niwaonyeshe na nyie, dhumuni kubwa ni kuwaonyesha hawa dadazetu wanaojiita 'mamodo' kuwa hatukubaliani na aina hii ya utangazaji wa biashara...
Hawachelewi kukopy and paste hawa....huyu ni star mkubwa tu, kwa wale wazee wa muvie mtakua mnamjua....for mo info click:http://www.thesun.co.uk/sol/homepag...2/Twilight-babe-Ashley-Greene-gets-naked.html