Inaelekea mambo ndio hayo mkuu ; huyu bibie anaweza kuwa mbunge wa Ikulu kwani hata mgodi wa dhahabu nasikia kisha pewa kule Singida, kwa hiyo mambo unayosema yanawezekana kabisa; Bingu WA Muthalika huko Malawi na Museveni wamekwisha onesha njia ya wamama kuwa ndani ya Cabinet!!