twendeniiiiiiii

twendeniiiiiiii

KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
2,061
Reaction score
547
africa1.jpg
 
Ooyooo unaona akili ya mswahili anavo chekelia na kumpa kichwa kikubwa huyo deriva ili akanyage xsleta na hapo tena mungu si athumani ilekibenuka tu basi tena hakuna cha msalie mume ni na wakwanza huyo deriva hutoka nduki na hupotea kwa mwaka na kila mtu hapo humtupia lawama deriva na hayo mashairi yao huwa mazuri na ya huzuni na maji yakimwageka hayazoliki na hapo tena ni kilema cha maisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom