350 inamuweka mtu mjini msiipuuze kbs..wala tusikatishe wengne tamaa...hata mbuyu ulianza km mchicha!mnaoona wote wamefanikiwa wamepita pagum sana wengne walikua ht hawalipwi mwanzon but badae walitoka vzr tu so ikitokea umepata pga kaz kjn mwenzangu.
Dah lyf challenge sana...nnahc watu weng wa asia wana asili ya ubahiri..chek wahnd,wachina etc had wa vietnam??!!..but shati bovu si mgongo waz wadau..
350 inamuweka mtu mjini msiipuuze kbs..wala tusikatishe wengne tamaa...hata mbuyu ulianza km mchicha!mnaoona wote wamefanikiwa wamepita pagum sana wengne walikua ht hawalipwi mwanzon but badae walitoka vzr tu so ikitokea umepata pga kaz kjn mwenzangu.
Namaanisha kuwa interview nilivoitwa haikuclick kwenye ubongo kama ni interview ya watu walioko serious unless kama hao waliowaajiri hawajui customer care.Mfano wanakupigia simu hello Alfred Jackson unatakiwa kuja kwenye interview ya Vietel itakayofanyika IFM block D.Sasa nikajaribu kuwauliza is that interview written or oral? wakajibu wewe tu njoo kwenye interview si uliaply kazi njoo utakachokutana nacho ndiyi hicho hicho.After 10 min nikawapigia akapokea mdada nikajitambulisha vizuri kabisa then naye yaleyale oooh si uliaply wewe nenda tu,after kama 1 min ndiyo akaniambia kuwa ni online interviw.In short nikajionea usumbufu kwa sababu hata walikuwa hawako organized but all in all ningekuwa kijiweni no way ningenda tu
Mi nilituma maombi lakini naona kimya wakati mlisisitiza tuendelee kutuma na kuwajulisha wengine,swali langu ni kwamba mtaendelea kuita watu waje kwenye interview au ndio mshafunga zoezi?
Mi nilituma maombi lakini naona kimya wakati mlisisitiza tuendelee kutuma na kuwajulisha wengine,swali langu ni kwamba mtaendelea kuita watu waje kwenye interview au ndio mshafunga zoezi?