uhaale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2012
- 305
- 153
Sawa weka bei ya mzawa na mgeni mbona watanzania tunakuwa waoga? unaficha nini?Wahi nafasi zimebaki chache kwa sasa. Hatutangazi bei sababu sio kila mmoja wetu anayetaka kwenda ni mtanzania na bei za maradhi na kiingilio kwa wageni ni tofauti. Wengi wanaoitikia ni watu wa kutoka nje waishio tanzania.Asante