Miss Natafuta acha kiburi,jibu zile pm zangu lukuki please!njoo pm nikujibu
sina pm mimiMiss Natafuta acha kiburi,jibu zile pm zangu lukuki please!
Endelea na kiburi chako,walahi utakufa na utamu wako!sina pm mimi
Hiyo shape ndio ugonjwa wangu Mkuu njoo Pm tuyajenge ili uishi km mfalmenjoo pm nikujibu
WE POST MAMBO HAPA ANAYETAKA KWENDA PM AENDE KAMA WANAPANGA KUULIA MTU PM IYO PIA SAWA HII NCHI SI YENU BWANA TUNASHUKURUnashindwa kuelewa tatizo ni umbumbu ama nini!!!?
Mtu anatoa uzi wake vizuri kwa nia ya faida ya wanajamvi wote.
Na anapoweka uzi huo uwe wa biashara,ujasiriamali ama chochote kwa ajili ya kujifunza.
Sasa nashindwa kuelewa mtu mmoja au wawil KUTAKA KWENDA PM.
Ni kisebusebu gani?ama wengine hatuna haki ya kujifunza kupitia huo uzi?
Unaleta biashara bei unataka twende pm huo ni UTAPELI.
MIMI SIO MWANDISHI MZURI LAKIN NAAMIN NIMEELEWEKA.over
Hiyo shape ndio ugonjwa wangu Mkuu njoo Pm tuyajenge ili uishi km mfalme
sio siri mkuu,mi hata kuingia PM sijui.PM - premature?
Bofya avatar yangu litatokea neno LOADING... kishapo itatokea bio yangu lakini mstari wa kwanza utaona neno Msg bofya Kisha jihudumieSio
sio siri mkuu,mi hata kuingia PM sijui.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji102] [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji2] [emoji2] [emoji2]