Twende pamoja

Twende pamoja

Complicator EM

Senior Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
155
Reaction score
39
1. Musa shujaa
2. Kapimbi amwokoa kapilima
3. Mchwa wadudu wa ajabu
4. Anduje mtoto mchunguzi
5. Tola ala konokono gizani
6. Kibanga ampiga mkoloni
7. Gedere wadudu waharibifu
8.
9.

Daah! Wapi WA KUSOMA mdogo wangu?
Enzi hizo sikuku kama hizi tayari baba alishaninunulia nguo wiki nzima ninazijaribu, kilo2 za mchele zimo ndani tangu mwezi wa9.
Hebu wanajamvi tuendelee kukumbushana enzi hizo, huku tukimpa pole mwanajamvi mwenzetu WA KUSOMA anayepita humu kama guest baada ya kula bann la 30days mpaka 19january2012.
 
mie siendi pamoja na wewe naenda kivyangu sasa!

1+( )=18
-5+6=
3*6=
6+-2=

sasa banned yako ikiisha uache ushalobalo wako, na uifunge hio id ya complicator!
 
wewe WA KUKARIRI (WAKUSOMA)

Bann huwa ni sehemu ya kujirekebisha, lakini wewe ndio unaitumia kuzidi kupotea. Utafungiwa kabisa usiweze kuingia na ID yoyote hapa
Ooooooh wakusoma complicator
 
1. Musa shujaa
2. Kapimbi amwokoa kapilima
3. Mchwa wadudu wa ajabu
4. Anduje mtoto mchunguzi
5. Tola ala konokono gizani
6. Kibanga ampiga mkoloni
7. Gedere wadudu waharibifu

daah! Wapi wa kusoma mdogo wangu?
Enzi hizo sikuku kama hizi tayari baba alishaninunulia nguo wiki nzima ninazijaribu, kilo2 za mchele zimo ndani tangu mwezi wa9.
Hebu wanajamvi tuendelee kukumbushana enzi hizo, huku tukimpa pole mwanajamvi mwenzetu wa kusoma anayepita humu kama guest baada ya kula bann la 30days mpaka 19january2012.

8. Siku ya gulio katerero
9. Sadiki na sikiri
10. Sizitaki mbichi hizi
11. Bata ni ndege
12. Kama mnataka mali mtayapata shambani
13. Pamela na kipini
14. Mfalme mwenye masikio kama punda
 
8. Siku ya gulio katerero
9. Sadiki na sikiri
10. Sizitaki mbichi hizi
11. Bata ni ndege
12. Kama mnataka mali mtayapata shambani
13. Pamela na kipini
14. Mfalme mwenye masikio kama punda

15.Zawadi ya ushindi
 
Back
Top Bottom