twende kazi

jamaa mzembe mi sehemu kama hizoni hupita nimefumba macho.
 
Angalau ana ka tahadhari kidogo kwa kuamua kupiga magoti!
 
Aning'inie na uzio inakua ngazi huku akiwa amebeba baiskeli yake mgongoni
 
Ili kupita hapo lazima uwe unafukuzwa na wananchi wenye hasira kali lol!
 
Mbona hamna kibao cha Danger... hapo ukiwa na gari ndo balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…