NIMESOMA PAGE YA KWANZA YOTE ila kilichonishangaza nikuona wale pro-chadema wakimsapoti lowassa. sijaelewa hasa ni nini kilichonyuma ya hili sakata la kutaka kumpeleka mwizi pale magogoni.
au nina wasiwasi mods wanatumika kwa ku-delete any against content.
inamaana chadema aka wachaga wamehamia kumuunga mkono lowasa kwa sababu ni mkaskazini mwenzao? wonders will never end.
Hahahaha Agwambo, huyo unga Ltd kachanganyikiwa, yaani kwa akili zake anafikiri nani anaweza kumpeleka mzee wa kulialia ikulu, never on earth......Ikulu siyo mahala pa Kulia lia mkuu tafadhali sana
👊💀👎👌💨💨💨💨
When did u take ur last maths class..!!? haya kura 1 imeharibika...hv u satisfied..!!?
Hujui hata kuwa Katiba inasema UKIPATA MORE THAN 50% YA WAPIGA KURA WOTE...ndie mshindi...
Ww ushindi wako ni 100%...!?? When did u take ur last maths class..!!??
Una tatizo kubwa sana katika rounding up na ni wazi hujui ukisemacho au umeshindwa kuelewa hizo data.............Hizo zenye asilimia 3% ukifanya hesabu zake ni 3.4% kwa kuwa hiyo 4 haijavuka tano not neccesarly uiweke ila kama ikivuka unalazimika kuiweka au kuiround up, ndiyo mana unaona hiyo difference kutokana na hizo pct mleta mada kaziacha..., pili 0.5 SE ina ny research lazima iwepo in that case not neccesarly iwe 100%.........rudi shule then usome kitabu cha Urry maarufu katika social researches......USITOKE POVU KIJANA
----------------------------------
Nimetumia data za huo utafiti uchwara...
★ sasa nionyeshe sehem gan mtoa hoja amehainisha KURA moja kuharibika?!
Au ndo tuhisi hivyo sio?
Hata kama tukisema KURA moja imeharibika sasa mbona hyo tofauti ya kiasilimia itazidi zaidi ya mtu mmoja.....
Hebu twende pamoja.
---------------------
Idadi ya sample ni 60.
Kwa mtu 1 itakuwa ni 1/60 ×100=1.666% kimakadilio sawa na 1.7% sasa iweje ukijumlisha % ya Lowasa na wenzako wote ifikie 94.6% badala isiwe 98.3%(kwa maana ya kura moja kuharibika)?!
Pia sijasema mshindi ni lazma apate100%.
Nimesema ukijumlisha % kwa wagombea wote ni lazma zifikie 100% au kimakadilio basi zikaribie saaana na 100%...
-----------------–-----------–-----–----–
Samahani lakini.
Itabidi nikuchaji ada kwa hii shule ninayowadondoshea wapika takwimu tena mliokimbia hesabu ndogo ndogo.......
Na hata kama walimu wenu waliwashindwa kwa kuwa na vichwa vigumu ila hapa mtaelewa tu.
------------------------------–-----–-
Specialist88
UKAWA TUMAINI 2015.
Hizo ni mbwembwe za kuonyesha umesoma statistics , wote tumesoma , elimu zenu za kata ni matatizo kwa idadi hiyo ya wapiga kura na kwa swali hilo moja na kwa watu hao waliohojiwa kwa akili yako unafikiri kuna statistical package ilitumika hapo ? muuliza swali yuko sahihi waeleze juu ya hizo figure zina utataWe akili yako ndogo kweli.......kwa msaada namba yoyote ikiwa na point zaidi ya tano your eligible to round up, na ikiwa chini ya hiyo uwezi ku round up..........na katika utafiti wowote ule always kuna 0.5 SE......... comment yako imeonyesha upeo wako mdogo ulionao..........I recommend to you to read more and more kitabu cha Kothari...
House girl wake nasikia yuko hoi Muhimbili amepungukiwa na kinga mwilini? mpe pole sana dada jane (housegirl wake)...
Sina tatizo na Pinda. Ni mtu mwenye hekima katika kuamua mambo.Nchi yetu imefika mahali tuna hatua chache kufikia uchumi wa kati. Hasa baada ya gesi na mafuta. Tunahitaji kiongozi makini na mwenye busara katika kuongoza.
Ujakosea Mkuu mimi nimesoma shule za kata kwa sababu wazazi wangu walikuwa wakulima, kama wewe umesoma St sijui nini, sijui cambridge that is you, ila elimu hiyo imekufanya kuwa mtumwa, nyie ndio mlikuwa mnapiga deki huko ulaya na kuuza kitakoreee aka masaburi, na ya kwako ilivyo tamu najua uliiuza sana sanaHizo ni mbwembwe za kuonyesha umesoma statistics , wote tumesoma , elimu zenu za kata ni matatizo kwa idadi hiyo ya wapiga kura na kwa swali hilo moja na kwa watu hao waliohojiwa kwa akili yako unafikiri kuna statistical package ilitumika hapo ? muuliza swali yuko sahihi waeleze juu ya hizo figure zina utata
Juzi January Makamba alienda kuomba sapoti kwa Kingunge, mzzee wa watu hakuweza kumkawiza akamwambia wazi wazi kuwa kijana haujatosha katika hii nafasi, nakushauri urudi katika jimbo lako.........then akampigia mzee Makamba mwenyewe kisha akamwambia kijana wako ninaye hapa ila nimemwambia wazi wazi kuwa hafai kwa sasa......tokea siku hiyo jamaa kakata tamaa katika hizi mbio za urais
Kaka umeelezea hili jambo vizuri sana.....hapo Ocampo anamaanisha Mwigulu na January kura moja moja......Specialist88 hajui anachokisema na haya ndiyo madhara ya kuvamia kucomment kabla ya kusoma uzi mzima....specialist88 hizo perc ukijumlisha zinafika 98. Kumbuka huyo January na nchemba ni kura moja each. Hata hivyo percentage katika mabano ni rounded off estimations cha muhimu kuangalia ni kama idadi inafika hio 60. Argument yako kuwa percent haifiki 100 na hivyo basi takwimu ni feki sio sahihi na inatilia Shaka uelewa wako.