Kwani dini iko moja au kana kwamba wengine wakifunga wengine starehe NO au ndio kusema wenzetu ndio wapenda starehe kuliko wengine ila muumini mmmmmm,twanga nenda vijana mwananyamala.
Nawashukuru sana kwa majibu yenu,aaah bwana akilini ilikuwa kama niko Pemba.Jamani kama kuna wapenzi ambao hawakufunga wani PM tukalisikate weekend hii, nasikia kuna style ya kisigino au visigino-entrance fee kwangu/uwezo wangu watu 3.