TV1 STARTIMES WANAONESHA EPL LIVE

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
620
759
TV1 mnafaa kuitwa watz....miaka ile ilikuwa itv ikaja tbc1. Asante kwa kutupa mzipo wa epl....naona liverpool na burney leo na mzee wetu dr leakey wa kipindi kile channel ten na akina ndimbo na oresti kawau.....

hebu mje na uefa pia.

Tunahitaj chanel kama hizi walau na azam hii supersport kila mwezi 200,000 acha ile vumbi tu
 
chanel ten ya kina ndimbo duhhh kipindi kile.mambo yalikuwa mswano sana
 
Back
Top Bottom