TV za nchi yetu hazitufai

TV za nchi yetu hazitufai

gogo la shamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
6,669
Reaction score
2,165
kwa kweli TV za nchi hii pamoja na TV ya Taifa hazitufai,sasa hivi ni saa kumi na moja Asubuhi watu wako macho kuwasiliana kupitia jamii Forum kujua kinachoendelea kwenye uchaguzi wa mitaa cha ajabu TV zetu zinatangaza habari za nchi za nje. tunaishukuru Redio moja ya Arusha kutuletea baadhi ya matokeo mpaka saa sita usiku kupitia kwa mtangazaji wake aitwae Sheikh mdoe
 
Ukiona hivyo ujue vina mambo kisiasa ndani yake na system yao ndo imepata maumivu Tv km TBC ni TBC CCM
 
Wanahofu kutangaza kuwa CCM imeshindwa wasije wakafungiwa.
 
Hapana hamjui TV zetu hazina watalaamu na hua hazijue cha kutangaza na ni wazuri sana wa kutangaza matatizo na vurugu kuliko kutangaza mema na neema ukiona hivyo jua hakuna vurugu na watanzania tumekua wastaraabu balaa
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1418614253.080276.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1418614253.080276.jpg
    63.5 KB · Views: 214
Tanzania kuna uhuru wa kuanzisha vyombo vya habari ila si uhuru wa habari zenyewe ..hata kama tutakuwa na tv stations 500 na redio 10000 haitasaidia kama uhuru wa habari zenyewe haupo na hapo ndo tunatakiwa kukazia huku tukiita Tbc escrow II kwani wanatumbua kodi zetu kwa miaka yetu bure,
 
Mm nafkiri unaongea tu, lakin huna data channel 10 jana walirusha uchaguzi kwa muda ambao walipata nafasi hio. Lingezuiwa suala la escrow na sio uchaguzi wacheni ujinga!
 
Back
Top Bottom