Tv Star X smart Tv inanitia ushamba naombeni msaada

True ndo nawaza mimi apa nina inch 43 zile channel ambazo sio hd zinaonyesha vibaya mno,sasa sipati picha wenye inch 65 huko sijui wanaangaliaje channel mfano eatv
hiyo itakua ni startimes katika ubora wa picha dekoda nzuri ni dstv na azam tv kwanza ukitumia startimes utaona tv yako kimeo mzee kumbe walaa.
 
Habari wana Jf,Tv aina ya Vitron inchi 32 pamoja na Sabufa aina ya Aborder inapiga mziki mnenen vyote vinauzwa kwa pamoja na bei ni Tshs 330,000/=

Viyu vipo Gongo la mboto Moshi Bar.

0689 150 968
0625 576082_Watsapp
Image.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom