TV showcase inauzwa bei ya kutupa (200,000)

simon baker

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
562
Reaction score
768
Habari,

Nauza TV showcase, kwa bei tajwa hapo juu
maelewano yapo kidogo...
Location TEMEKE Changombe...
0742 900 511
karibuni

IMG_1763.JPG
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watanzania sisi kukosoa tuko
Vizuri zaidi ya kufanya biashara

Mwana TMK mwenzangu wewe na mimi ni neighbours yaani majirani so shusha vitu vyote hapo kisha ipige picha ikiwa plain.

Kisha ushauri kwa wateja haswa wale wenye TV kubwa zaidi ya hiyo nafasi hapo Kama nyumbani kwako una varanda / baraza imekaa vizuri kabisa unaweza kuiweka hiyo kama flower stand/ stand ya maua. Simple ni kugeuza tu matumizi sio lazima utundike TV
 
Very true mkuu...
this is the plan...wife anataka iweka uwani kwa kazi kuu ya kuwekea mavyombo yae yanayotumika on daily basis...
ila nikasema ngoja nijaribu dispose kabla hatujatengeneza karo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watanzania sisi kukosoa tuko
Vizuri zaidi ya kufanya biashara

Mwana TMK mwenzangu wewe na mimi ni neighbours yaani majirani so shusha vitu vyote hapo kisha ipige picha ikiwa plain.

Kisha ushauri kwa wateja haswa wale wenye TV kubwa zaidi ya hiyo nafasi hapo Kama nyumbani kwako una varanda / baraza imekaa vizuri kabisa unaweza kuiweka hiyo kama flower stand/ stand ya maua. Simple ni kugeuza tu matumizi sio lazima utundike TV
asante kwa mchango wako jirani...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom