Mwendabure
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,138
- 1,045
Mkuu mi ninayo ila nipo Mtwara pia IRIS 1&2 na Dong Yi. Nazungumzia episode zote kwa hizo nilizozitaja.kwa mwenye slave hunter hapa arusha naomba tuwasiliane ningependa kuicheki nasikia ni nzuri sana.tutaexchange series,ninazo series nyingi sana ambazo ni latest.
mm munitajie series kali mpya za kijasusi na kipepelelezi
Wale wapenzi wa Tv series karibuni kwenye hii thread tufanye kubadilishana mawazo, mimi ntaanza kwa kuzitaja series nilizoangalia na ninazoendelea kuangalia.
1: 24
2: Prison Break
3: Breaking Bad
4: The Firm
5: Hostages
6: Last resort
7: Revolution
8: The Blacklist
9: Under the dome
10: Dominion
11: Gang Related
12: Tyrant
13: Homeland
14: Reckless
15: The divide
16: Banshee
17: Falling Skies
18: Single ladies
19: The 100
20: Strike Back
Here we go.....
mkuu naomba unitajie mbil 2 ukiondoa
24
prison break
arrow
ambazo kali za kijasusi na kipelelezi
kuna three kingdoms... ni nzuri...na kuna app ya kushusha muvi za kikorea unaijua???
Ngoja niisake hiyo 3 kingdoms.........Hiyo apps ninayo lakini kwangu haifanyi kazi sijui tatizo nini.
kwa user name yako nikajua utaisifia Da Vinci demons
ila me ukiniambia nichague nachagua da vinciDa Vinci demons naikubali but game of thrones ni habari nyingine!
mkuu naomba unitajie mbil 2 ukiondoa
24
prison break
arrow
ambazo kali za kijasusi na kipelelezi
Wale wapenzi wa Tv series karibuni kwenye hii thread tufanye kubadilishana mawazo, mimi ntaanza kwa kuzitaja series nilizoangalia na ninazoendelea kuangalia.
1: 24
2: Prison Break
3: Breaking Bad
4: The Firm
5: Hostages
6: Last resort
7: Revolution
8: The Blacklist
9: Under the dome
10: Dominion
11: Gang Related
12: Tyrant
13: Homeland
14: Reckless
15: The divide
16: Banshee
17: Falling Skies
18: Single ladies
19: The 100
20: Strike Back
Here we go.....
ila me ukiniambia nichague nachagua da vinci
kuna vikings, black sails, crossbonesOK naona unapenda ancient story series kama Mimi zipi nyingine nzuri umeona!
Taja series zote ila THE EVENT ni noma
Da Vinci demons naikubali but game of thrones ni habari nyingine!
Blacklist, Person Of Interest