TV Series Reviews

So you think you can dance
Homeland security
Lost
 

hivi hiyo the 100 ni nzuri? Nlichekigi 2 episodes za mwanzo nikaona ile idea yao haifanani na ukweli
 
mi nimezicheki
Viking
game of throne
0—6iko poa mno kwa wale wanaopenda adventure na fantasy movies
 
hivi hiyo the 100 ni nzuri? Nlichekigi 2 episodes za mwanzo nikaona ile idea yao haifanani na ukweli

Yah ni nzuri kama unafuatilia updates za NASA na astronomy utaona ni jinsi gani ipo karibu na possibility ya kufanana na ukweli
 
mkuu ya 3 kutoka mwisho ni pirrate of the sea au inaitwa sea gods? hzo drama ulizoandika zko poa
 
series za waingereza ni nzuri sana story zao...kuna series kama Atlantis na game of thrones ziko poa sanaaa...
dont miss Atlantis imetoka season one tu
 
onyo na angalizo kwa wote mnaoangalia matamthiliya ya kutisha tisha yenye mambo ya majini, mashetani, na mavampires.
Lukuni vere
 
Mimi hivi sasa za kikorea ndio zimenishika kiaina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…