chingunduli
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 268
- 51
mkuu mimi nataka nzima kabisa na ikiwezekana mpya.Ninayo. Ila ina tatizo la Display. Inaptisha Mstari kwenye Kioo. Wataalam wanadai diSplay yakubadili. Nnaiuza kwa 450,000. Kioo unaweza kupata kwa laki hadi laki2. LCD bado iko Bomba. Imetumika 2yrs Only. Ni Pm tafdhali kama unataka Kuiona.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
tafuta 600000tsh nikuelekeze dukani mpyaa wapata LED 4th series warantee miaka 2
Mkuu ni pm namba yako nikupigie nije hapo dukani.tafuta 600000tsh nikuelekeze dukani mpyaa wapata LED 4th series warantee miaka 2
samsung! . labda fundi akuuzie.
Usimkatishe tamaa huyu ndugu, unless unafahamu unacho comment.
Kariakoo zipo Lcd TV za Samsung za bei hiyo.
k/koo utapata za singsung mkuu,