Tatizo la kuwaka stand bye linatokana na mambo tofauti,angalia transistor horizantal kama iko safi,pima kama volt89 kama zinafika hizo volt ni kwa Hitachi original,pima transistor regulater iko safi na pima kias kinachoingia na kinachotoka kwani kuna regulater ya 9V na 6V pia kuna regulater inaingiza hzo volt na kutoa volt3 kwaajili ya ic ya Zilog (control) inakaa karibu na batani hapo chini na usisahau kupima zener diode zote zinazozunguka output na transistor ndogo ndogo hzo pia luss connection ni jambo la muhimu kulifuatilia.