Nawakaribisha kutazama vipindi maalum vya Wajibu wa Asasi za Kijamii kuelekea kwenye Katiba Mpya.
Vipindi hivyo vinaanza leo Alhamisi na Kesho Ijumaa kwenye ITV saa 1:00-1:30 jioni. Kwa TBC, Vipindi hivi vitarushwa kila siku Saa 1:30-2:00 usiku.
Katika kipindi cha Kwanza, Prof. Shivji, atatoa mada ya mchakato wa kupata katiba bora na halali.
Prof. Shivji, ameuponda mchakato wa kukusanya maoni unaendelea kuwa hauwezi kutupatia katiba bora na yenye uhalali wa kikatiba "The constitutionalism of the constitutional"
Fuatilia vipindi hivi mjifunze mengi.
Asanteni.
Pascal.
Mada ni kama zifuatazo.
TV PROGRAMS ZA TAMASHA LA AZAKI 2012 Wajibu wa Asasi za Kiraia Katika Mchakato wa Kuandaa Katiba Mpya
Program 1 Dur: 30 min
Program 2 Dur: 30 min
Program 3 Dur: 30 min
Program 4 Dur: 30 min
Kukaribisha Wadau na Utambulisho-Mkurugenzi FCS
Neno la ukaribisho na Maudhui ya Tamasha Mwenyekiti wa Bodi ya FCS
Uwasilishaji wa mada : Masuala ya Msingi ya kuzingatia katika mchakato wa kuandaa katiba ya kidemokrasia :
Prof. Issa Shivji
Ufunguzi
Kumkaribisha Mgeni Rasmi Raisi FCS
Hotuba ya Ufunguzi-Joseph Butiku Mkurugenzi Mwalimu Nyerere Foundation
Neno la shukrani- Mwakilishi kutoka Azaki
Jopo: Wajibu wa Asasi za kiraia katika Mchakato wa kuandaa katiba
FCS Members
Warsha za Kisekta : Mtazamo kutoka kwa :
Wakulima/ Wavuvi (MVIWATA/ Mtandao wa Wavuvi)/Wafugaji/Wawindaji/wakusanyamatunda/(PINGOs Forum)
Elimu - Haki elimu/ Ten Met
Afya - Sikika
Wajibu wa Serikali za Mitaa- MARCOSSY ALBANIE
Uhuru wa kupata habari na Uhuru wa kutoa maoni MCT, MOAT- Henry Muhanika
Mjadala wa pamoja : Maadili ya Uongozi katika Katiba Mpya;
Moses Kulaba
Gema Akilimali
Kamishna wa Tume ya maadali
Program 4 Dur: 30 min
Program 5 Dur: 30 min
Program 6 Dur: 30 min
Program 7 Dur: 30 min
Mihimili ya Dola na Madaraka yake katika katiba mpya
Chama cha majaji Wastaafu
Francis Stolla
Marcossy Albanie
Harold Sungusia
Masuala ya Muungano katika Katiba Mpya
Ismael Jusa
Ibrahim Mzee Ibrahim
Dr. Mohamed Bakari
Francis Kiwanga
Warsha: Masuala Mtambuka
Jinsia (TGNP/TAWLA/TAMWA)
Walemavu (SHIVYAWATA/DOLASED)
Vijana (YPC/TAYODEA/MARK OKELO)
Mafuta na Gesi-POLICY FORUM/SALAS OLANG
Maliasili TNRF/KAMA
Haki za Binadamu na Hati ya Haki za Binadamu katika katiba Mpya LHRC/SAHRINGO
Itikadi Ipi tunayoifuata : Ujamaa au Ubepari?
Prof. Marjorie Mbilinyi
Felix Mosha
Prof. Wangwe
Program 8 Dur: 30 min
Program 9 Dur: 30 min
Program 10 Dur: 30 min
Program 11 Dur: 30 min
Mjadala wa pamoja kuhusu Ardhi katika katiba Mpya
HAKIARDHI (Yefred Myenzi
Dr. Rugemeleza Nshala
Huduma zinazotolewa na FCS: Maswali na Majibu
Mkurugenzi FCS
Nini kifanyike: Uwasilishaji wa Masuala ya Msingi yaliyoibulliwa na AZAKi ya kuzingatia katika
K atiba Mpya
Mjadala wa pamoja kuhusu Masuala ya msingi yaliyojitokeza katika mada zote
Hamphrey Polepole
Kufunga
Kutoa Tuzo
Maelezo ya kufunga Tamasha Bi. Salama Kombo
Neno la Shukrani Mwenyekiti Bodi ya FCS
Program 12 Dur: 30 min
Program 13 Dur: 30 min
Program 14 Dur: 30 min
PRODUCTION
Maoni ya Wadau Kuhusu Tamasha la 10 la AZAKI kwa Mwaka huu 2012 (Done)
AZAKI zilizo shinda Tuzo, zimeshinda kwa vigezo gani, na zimefanya nini kustahili tuzo hizo (Done)
Ijue The Foundation for Civil Society, malengo, viongozi, utendaji.
Hakuna TV inayouza muda zaidi ya 30 min. Ukiona kipindi chochote ambacho ni cha zaidi ya 30min, ujue ni cha wenye TV station wenyewe!. Ndio maana vipindi viko vingi.
Hakuna TV inayouza muda zaidi ya 30 min. Ukiona kipindi chochote ambacho ni cha zaidi ya 30min, ujue ni cha wenye TV station wenyewe!. Ndio maana vipindi viko vingi.