Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,337
- 113,181
Wanabodi,
Nawakaribisha kutazama vipindi maalum vya Wajibu wa Asasi za Kijamii kuelekea kwenye Katiba Mpya.
Vipindi hivyo vinaanza leo Alhamisi na Kesho Ijumaa kwenye ITV saa 1:00-1:30 jioni. Kwa TBC, Vipindi hivi vitarushwa kila siku Saa 1:30-2:00 usiku.
Katika kipindi cha Kwanza, Prof. Shivji, atatoa mada ya mchakato wa kupata katiba bora na halali.
Prof. Shivji, ameuponda mchakato wa kukusanya maoni unaendelea kuwa hauwezi kutupatia katiba bora na yenye uhalali wa kikatiba "The constitutionalism of the constitutional"
Fuatilia vipindi hivi mjifunze mengi.
Asanteni.
Pascal.
Mada ni kama zifuatazo.
TV PROGRAMS ZA TAMASHA LA AZAKI 2012
Wajibu wa Asasi za Kiraia Katika Mchakato wa Kuandaa Katiba Mpya

Program 1 Dur: 30 min | Program 2 Dur: 30 min | Program 3 Dur: 30 min | Program 4 Dur: 30 min |
Kukaribisha Wadau na Utambulisho-Mkurugenzi FCS Neno la ukaribisho na Maudhui ya Tamasha Mwenyekiti wa Bodi ya FCS Uwasilishaji wa mada : Masuala ya Msingi ya kuzingatia katika mchakato wa kuandaa katiba ya kidemokrasia : Prof. Issa Shivji | Ufunguzi Kumkaribisha Mgeni Rasmi Raisi FCS Hotuba ya Ufunguzi-Joseph Butiku Mkurugenzi Mwalimu Nyerere Foundation Neno la shukrani- Mwakilishi kutoka Azaki Jopo: Wajibu wa Asasi za kiraia katika Mchakato wa kuandaa katiba FCS Members | Warsha za Kisekta : Mtazamo kutoka kwa :
| Mjadala wa pamoja : Maadili ya Uongozi katika Katiba Mpya;
|
Program 4 Dur: 30 min | Program 5 Dur: 30 min | Program 6 Dur: 30 min | Program 7 Dur: 30 min |
Mihimili ya Dola na Madaraka yake katika katiba mpya
| Masuala ya Muungano katika Katiba Mpya
| Warsha: Masuala Mtambuka
| Itikadi Ipi tunayoifuata : Ujamaa au Ubepari?
|
Program 8 Dur: 30 min | Program 9 Dur: 30 min | Program 10 Dur: 30 min | Program 11 Dur: 30 min |
Mjadala wa pamoja kuhusu Ardhi katika katiba Mpya
| Huduma zinazotolewa na FCS: Maswali na Majibu Mkurugenzi FCS | Nini kifanyike: Uwasilishaji wa Masuala ya Msingi yaliyoibulliwa na AZAKi ya kuzingatia katika K atiba Mpya Mjadala wa pamoja kuhusu Masuala ya msingi yaliyojitokeza katika mada zote
| Kufunga
|
Program 12 Dur: 30 min | Program 13 Dur: 30 min | Program 14 Dur: 30 min | PRODUCTION |
Maoni ya Wadau Kuhusu Tamasha la 10 la AZAKI kwa Mwaka huu 2012 (Done) | AZAKI zilizo shinda Tuzo, zimeshinda kwa vigezo gani, na zimefanya nini kustahili tuzo hizo (Done) | Ijue The Foundation for Civil Society, malengo, viongozi, utendaji. | PPR PRODUCTION |