TV Panasonic Viera inch 50 for sale

TV Panasonic Viera inch 50 for sale

Duh!
Iki chuma kinatafuna umeme balàa [emoji117]435watt

Yaani ukiliwasha,
Kila baada ya mawili Unapaswa kuingiza umeme wa BUKU.

INSHORT,
Ukiliwasha siku nzima yenye masaa 24, Litatafuna umeme wa 12,000

Ambapo UKIMILIKI iyo TV,
Unapaswa kuligharamia 360,000 kila mwisho mwezi kuenjoy burudani.

All the best mkuu[emoji16]
[emoji4] mbona nimelitumia vyema tu boss, hiyo hesabu ipitie vyema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom