TV ni chombo hatari sana

TV ni chombo hatari sana

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,430
18221812_1346789108708443_3220901772469019492_n.jpg
 
Yeah. Upo sahihi san.

Mwenye. Kufatilia mengi atajua unazungumzia nin hapa
 
Anything Too much is Harmful....
Inatupasa kuwa Wastani sio kupoteza muda wako mwingi kuangalia TV....
 
skuiz unaweza ukaangalia taarifa ukajakustuka hata hujui ulikuwa unafanya nini maisha yamebana mnooo
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Tangu dish langu la abudhabi lilipodondoshwa na upepo... Na mimi nimeacha kuangalia kabisa TV maana kuna kipindi cha BRAIN GAME hakika nilikuwa na gain vitu vingi sana
 
Duh nina miaka miwili sasa tangu nilipoamua kutokuwasha TV yangu ndani, sijui hata kama bado inafanya kazi. wengi wanasema misimamo yangu ya ajabu ajabu.
Ww din gan
 
Duh nina miaka miwili sasa tangu nilipoamua kutokuwasha TV yangu ndani, sijui hata kama bado inafanya kazi. wengi wanasema misimamo yangu ya ajabu ajabu.
Tokea Star time waache kutoa chanel za bure na wewe Umeacha kuangalia
 
Mimi nimeamua kuangalia sinema za wanyama, samaki, ndege na wadudu.
Hizi propaganda zingine naona kunipotosha tu.
 
Back
Top Bottom