Mkuu ipo Samsung ledtv inch 55, series 5 vipi unaweza kuchukua?Mwenye TV nchi 40 aniuzie
Ipo nchi 42 laki 7 kama unataka semaMwenye TV nchi 40 aniuzie
Ni smart? Used kwa muda gani?View attachment 492841
Ipo nchi 42 laki 7 kama unataka sema
43" brand newMwenye TV nchi 40 aniuzie
beiMkuu ipo Samsung ledtv inch 55, series 5 vipi unaweza kuchukua?
Mmh star X nchi 55 kwa mil 1.2? Punguza55" LED TV nayo 1.2M
Brand Star x
hii ni Full HD
mpya kabisa kwenye box.
1M na laki 80 ndio top price boss.Mmh star X nchi 55 kwa mil 1.2? Punguza
Mkuu ninayosamsung ledtv 55inch, series 5 nauza kwa hiyo bei ya 1.2Mmh star X nchi 55 kwa mil 1.2? Punguza
Bei nimeipunguza hadi 1.2m