TV KUJILOCK

TV KUJILOCK

Kiti Chema

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2017
Posts
1,797
Reaction score
1,976
Habari ya siku wanajamii, naomba kuwauliza mafundi wa humu JamiiForums. Ngoja niende kwenye lengo la uzi kabisa.

Mimi nina Tv aina ya LED [HDMI] nch 19. Sasa nina mda kitambo sipo home nilimuachia Getto Dogo, na niliacha Tv inafanya kazi kila sehemu,
Sasa nimerudi nakuta sehemu pa kuchomeka flash/ USB, hapatumiki, anadai kuwa alipalock kwa bila kujuwa, Nilikuwa nawaombeni anayefahamu namna ya kuilekebisha au kutoa lock hiyo kwa kutumia Remot.

Natanguliza shukurani kwenu na naheshimu mchango wenu
 
Mwanangu nunua TV nyingine
Hio inch 19 ni desktop
 
Mkuu uchumi duni[emoji16] kila mtu na size yake ya maisha.
Ni kweli kabisa ndugu yangu ila maisha mafupi haya. Usikute unapata pesa ila unazigawa kwa marafiki na kuhonga wakati ukiwa na laki tatu au nne unapata 32inchi swaafi kabisa .
Ila ninekuelewa kila mtu ana njia zake za kuishi
 
Maisha kweli ni tofauti, Mimi hapa nimeichoka inchi 43, nahitaji 55. Lakini kuna mtu anatamani apate hata inchi 18. [emoji2297]
Mkuu mimi nimeichoka 65” natamani 70”
Ila jamaa wanataka kunipiga wananiambia mil 3 huko . Nasubiri zishuke shuke .

Nakushauri jipange uvute 70” kabisa achana n 65” utaichoka haraka.
 
Habari ya siku wanajamii, naomba kuwauliza mafundi wa humu JamiiForums. Ngoja niende kwenye lengo la uzi kabisa.

Mimi nina Tv aina ya LED [HDMI] nch 19. Sasa nina mda kitambo sipo home nilimuachia Getto Dogo, na niliacha Tv inafanya kazi kila sehemu,
Sasa nimerudi nakuta sehemu pa kuchomeka flash/ USB, hapatumiki, anadai kuwa alipalock kwa bila kujuwa, Nilikuwa nawaombeni anayefahamu namna ya kuilekebisha au kutoa lock hiyo kwa kutumia Remot.

Natanguliza shukurani kwenu na naheshimu mchango wenu
Chukua rimote ingia seting kila kitu kinajieleza hapo unaweza seti hata antena isipokee mawasiliano au flash au ulikiwaka sekunde kadhaa ijizime au kuwasha bila pasawrd tv isiwake hiyo sio shida ya kiufundi ni seting tuu aligusa.
 
Iyo TV ulinunua Tunduma?
LED TV?

Remote yake imeandikwa LED Tu basi?

Ubarikiwe mkuu, ngoja nijaribu nione
 
Hii nilichukuwa kwa mwanjeshi furani hivi alikuwa anahama makazi akaamua kuniuzia kwa bei ya hasara,
Ndio remot yake imeandika hivo tu
 
Back
Top Bottom