TV inauzwa mpya kabisa

Kitu kipya! Mlikuwa na mashaka gani mpaka mkaamua kuitest!!?

Nyoosha maelezo kuwa imetumika.
Nakutakia kila la kheri mkuu wangu, wala sina nia mbaya kwa swali nililouliza.
 
jaribu kurudisha dukani uliponunulia, ukubali wakukate kodi, na uchukue hiyo 650,uwaachie 100? jaribu hiyo baadhi ya maduka huwa wanakubali, waeleze ukweli tu.
 
Mm natafuta sumsung og cjui ata bei jamani. Msaada pls
Samsung OG, kwa SAMSUNG AUTHORIZED DEALER KARIAKOO, 32" LED YA KAWAIDA NI 650,000 HADI 600,000, SMART 32" NI 780,000 HADI 750,000..
40" NI 980,000 hadi 850,000, inategemeana na MODEL na toleo,SERIES 5 FULL HD... SMART 40" 1,570,000.
HIZI HIZI WAWEZA KUKUTA BEI CHINI KWENYE MADUKA MENGINE AMBAYO SI WAKALA,NA BEI IKAWA CHINI KABISA HADI 5K, UJUE UTAPIGWA LA MACHO..
 
WAPENDWA, PROBLEM SOLVED, KWA HIYO NO MORE SALE... TANGAZO LIMEFUNGWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…