Tv inauzwa, bei 550,000

Tv inauzwa, bei 550,000

Status
Not open for further replies.
Mimi yatima
Kula 250,000/= mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbwa kala mbwa
775606221.jpg
 
Vip Memory yake GB ngapi??? Camera je megapix ngapi
 
Mkuu kwani yule fundi aliyeirekebisha alikushauri uiuze?
 
Ndugu naomba ieleweke hivi sio kila kitu mtu anachokiuza... Basi kina tatizo... Kuna sababu mbalimbali za kumfanya mtu auze kitu chake... Sasa kuleteana mzaha, kejer na masihala si vyema. Kama wewe hauko interested na kitu kinachouzwa basi ni vyema likupite sio lazima uchangie... Kinacho msaidia mtu ni chake... Nisingependelea tuleteane hizo mambo, kama wewe unaitaka tuwasiliane, njoo ione ukiridhishwa nayo tufanye biashara..
 
Kama hutak ulivoshauriwa na wadau hapo juu bas hayo ni magumash
Mm naona wamekushaur vzur na wala si kaz ngumu kupiga picha ila kila anayehitaji aje aone hiyo ndo kaz ngumu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom