TV Iman- Elimu Nila Mipaka

TV Iman- Elimu Nila Mipaka

Njilembera

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2008
Posts
1,496
Reaction score
610
Naangalia TV Imaan. Wa nazungumza Kiswahili muruwa, nimpenda!

ila nimegutushwa, Hawa watangazaji wamekaliwa mkeka, nikaanza kuwaza hivi nikienda pale Kwa mahojiano, intanibidi nijikunje kwenye ule Mkeka! Naogopa kuachia ushuzi, kwani sikuzoea.

hivi wale wanaodai Elimu ya magharibi haikubaliki yaani ni Haramu, hawakuanza hivi hivi! Msinishambulie nilikuwa nafikiria tu!
 
Mama yako awe na nyege hata ww pia.kama unawashwa njoo nikukune.kaa mbali na iman za watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom