tv flat ya singsung nchi 24 sh. Ngapi, mpya au used!
asante mkuu ila mi nipo dsm
sijui ni kwanini watu wanapenda vitu feki (clone) wakati wana uwezo kabisa wa kupata Original.. :der:kwanini usiende samsung.dealer utapata led 4th generation 23 inches kwa 380000 na warrant ya mwaka. Ni pure hd inasona external na format zote za video hata kama external ina partition itasoma partition zote.
tv flat ya singsung nchi 24 sh. Ngapi, mpya au used!
sijui ni kwanini watu wanapenda vitu feki (clone) wakati wana uwezo kabisa wa kupata Original.. :der: