kasuku mtu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 321
- 94
Tv lg in 60 na 55 zipo sokoni bei ni 3ml na 2ml maongezi yapo ni za kisasa
Tv lg in 60 na 55 zipo sokoni bei ni 3ml na 2ml maongezi yapo ni za kisasa
Wabongo mna maneno ya nyodooHiyo hela najengea nyumba mkuu
NI pm namba yakoTv lg in 60 na 55 zipo sokoni bei ni 3ml na 2ml maongezi yapo ni za kisasa
ni pm namba yakoHiyo pesa kubwa sana, mwenye 1.2 mil mimi nitampatia inch 55
Hizi tv ni kwa ambao tayari wana nyumba.Hiyo hela najengea nyumba mkuu
Mbona wahindi wanazo nyingi wakati wanapanga?Hizi tv ni kwa ambao tayari wana nyumba.
Namzingua tu huyo aliesema hela hio anajenga...najua na yeye anazingua tu...Mbona wahindi wanazo nyingi wakati wanapanga?