Kuna kanuni,mbinu au njia salama muhimu ambazo kila chombo cha umeme kinatumia hasa kinapohitaji repair.Muhimu kufahamu mgawanyiko wa volt na zinapoenda, kipimo husika cha kitu ukipimacho,fahamu matatizo ya kimemory na data,fahamu kupima DC V,na AC V,fahamu kipimo cha resistor(ohms,K ohms,M ohms and etc ohms)fahamu kwamba Diode,transistor na IC inatumia kipimo kimoja.Fahamu kuna aina tofaut za diode kuna diode ya kawaida(nyeus) pia kuna Zenner diode za type mbil zenner diod ya kawaida na zenner yenyewe ambayo symbol yake inaupindo mbele,zenner diode ya kawaida kipimo chake kinaanza 500,zenner yenyewe inaanza 700/600 kutokana na toleo la mita fahamu zaidi kupiti phone no.0757803385 bure.