TV antenna isiyotumia decoder inahitajika

Joined
Jul 8, 2017
Posts
86
Reaction score
73
Wakuu, nimeona nipost hapa hitaji langu litazamwe kusaidiwa.

Ninahitaji Antenna ya ndani ambayo naweza kufunga kwenye TV yangu na kutazama Local channels bila kutumia decoder yoyote.

Nimepitia maisha ya nyuma, enzi hizo TV zetu zilifungwa antenna yenye umbo la V mfano wa masikio ya sungura hivi na iliweza kushika channel kama TVT (Sasa Ni TBC), ITV na Star TV.

Kwa namna fulani maendeleo ya Sayansi yatakuwa yameleta kitu Nora zaidi nami nikiwa nahitaji kitu kama hiki nimeanza kukitafuta ili mwenye nacho au anayejua vilipo anisaidie nijipatie kimoja.
 
Ushauri: Kabla hujachukua hatua ya kununua hyo antenna ya analogy make sure upo within range maana sio kila mahali zinakamata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom