Tuzo za killi aibu

Yasser5

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
207
Reaction score
17
Jana nimejaribu kupoteza usingizi kufuatilia hizi tuzo
lkn nilijiuliza maswali yafuatayo
1 hivi hawa wanaopewa tuzo vigezo gani vinazingatiwa
2 Baada ya wasanii kuzipata hizo tuzo kwa nini baada ya kusonga mbele wanarudi nyumba aka 20%

3 ............ Ongeza na nyingne
 
Hapo kuna aibu gani?

Kwa kawaida hata huko nje hakuna msanii anaepata tuzo kila mwaka.
 

Kwenye RED: Nia yako nini hasa? Na unataka tuongezee nini wakati wewe ndiye uliyeweka thread hapa? kama haifai usingeweka manake wewe mwenyewe unaona haijatimia.
 
Kwa hiyo ukaona ni vizuri pia utupotezee muda na sisi kwa kuwa wewe ulipoteza usingizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…