Mpoki hakustahili hiyo tuzo hata kidogo.
Mpoto was best at that category.
Hata mimi ningekuwepo ningempigia kura Mpoki
Kwa hakika ushindi wa Mpoki katika mashindano haya umedhihirisha kuwa watanzania wanajali sana kampeni kuliko uhalisia wa uwezo wa mgombea katika nafasi husika.Mpoki ameshinda kwa sababu alikuwa akifanyiwa sana kampeni katika kipindi chao cha Ze Komedi,fursa amabayo Mpoto hakuwa nayo.
Kiukweli wimbo wa Shanagazi wa Mpoki ni zao la wimbo wa Mjomba wa Mpoto,na hivyo Mpoki hakustahili kumshinda Mpoto,ila kwa sababu wanaochagua mshindi ni wananchi na walio wengi ni mashabiki na si wajuaji wa muzki,ndio maana yametokea yaliotokea.
Ila kutokana na ushindi hou mashindano hayo yamepoteza thamani kabisa labda waanadaji watafute njia mbadala ya kumpaata mshindi na si hii ya kupigiwa kura na mashabiki badala ya majaji wanaojua muziki.
anastahili kwa sababu alishindana na akashinda!suala la kucopy nyimbo ya mjomba ni jengine km kulikuwa na kasoro ktk hilo asingekuwa nomineted, na kingine ni kwamba kazi za kisanii ni kuigana so sidhani km kuna tatizo ktk hilo!
Ndiyo maana hata yeye alipata shock kusikia kashinda!
Thats the waste scene i ever saw in that program!...Halafu zaidi ukimsikiliza amefanya piracy ya kufa mtu ya vionjo vya Mpoto!
Thats total disgrace to the tournament as whole!
kweli kweli kabisa mkuuKwa hakika ushindi wa Mpoki katika mashindano haya umedhihirisha kuwa watanzania wanajali sana kampeni kuliko uhalisia wa uwezo wa mgombea katika nafasi husika.Mpoki ameshinda kwa sababu alikuwa akifanyiwa sana kampeni katika kipindi chao cha Ze Komedi,fursa amabayo Mpoto hakuwa nayo.