Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,440
- 5,738
Achana na vya bure, havipo!Mi nashauri mboreshe maana naona kichekesho tu. Eti nita mapoint kibao, ukitaka kununua kifurushi point 7000 kwa MB200, mmeboa kwa kweli. Au hizo point 80000 ukitaka iwe hela unapata 4000, kweli!!!!! Wakati unapewa tuzo 10 kwa transaction! Huu ni utani bora mbadili au mboreshe
[emoji23][emoji23][emoji23] point kadhaa unalia, wenzio wanafikisha hadi point 80,000
Teh teh umeamua kuzira!Voda wanadhani sisi wateja wao ni Mazezeta. Huwezi kuanzisha promotion ya kijinga kama hii kwa watu wenye akili timamu. Kwa taarifa yenu hata hayo matuzo point yenu siyataki.
Hawa nao sasa hivi michosho sana.Mi nashauri mboreshe maana naona kichekesho tu. Eti nita mapoint kibao, ukitaka kununua kifurushi point 7000 kwa MB200, mmeboa kwa kweli. Au hizo point 80000 ukitaka iwe hela unapata 4000, kweli!!!!! Wakati unapewa tuzo 10 kwa transaction! Huu ni utani bora mbadili au mboreshe
Rudi home kumenoga,Voda ni wahuni kupindukia, kusema kweli kwa sasa naangalia namna ya kuacha kutumia mtandao huu.