Mimi nina point 20,000+, eti wananitumia SMS kwamba ninaweza kupata dak 15, voda to voda , nimecheka sana, nimeona niendelee tu kununua. Maana hiyo ni dharau ya karne ...Mi nashauri mboreshe maana naona kichekesho tu. Eti nita mapoint kibao, ukitaka kununua kifurushi point 7000 kwa MB200, mmeboa kwa kweli. Au hizo point 80000 ukitaka iwe hela unapata 4000, kweli!!!!! Wakati unapewa tuzo 10 kwa transaction! Huu ni utani bora mbadili au mboreshe
😀😀😀😀Mimi nina point 20,000+, eti wananitumia SMS kwamba ninaweza kupata dak 15, voda to voda , nimecheka sana, nimeona niendelee tu kununua. Maana hiyo ni dharau ya karne ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusingekuwa na tuzo point hizo 4000 ungezipatia wapi?Mi nashauri mboreshe maana naona kichekesho tu. Eti nita mapoint kibao, ukitaka kununua kifurushi point 7000 kwa MB200, mmeboa kwa kweli. Au hizo point 80000 ukitaka iwe hela unapata 4000, kweli!!!!! Wakati unapewa tuzo 10 kwa transaction! Huu ni utani bora mbadili au mboreshe
Hamna suala la kushinda hapo ni ujinga tu!Wale wanaoshinda sijui wanashinda vp
Bora Tigo...Kusingekuwa na tuzo point hizo 4000 ungezipatia wapi?
Umefanya transactions miezi 6 kutumia voda na tigo. Voda wanakupa tuzo point na tigo hawakupi.
Yupi bora kati yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimrubuni bi mkubwa wangu kwamba kwakuwa laini yake ni moja ya laini za kwanza kabisa nadhani kati ya watu 100 wakwanza kutumia vodacom nae yupo basi acheze atashinda maana midakika 200 hadi 500 anaipataga bila hata kuelewa.Wale wanaoshinda sijui wanashinda vp
Nilimrubuni bi mkubwa wangu kwamba kwakuwa laini yake ni moja ya laini za kwanza kabisa nadhani kati ya watu 100 wakwanza kutumia vodacom nae yupo basi acheze atashinda maana midakika 200 hadi 500 anaipataga bila hata kuelewa.
Weeeeeee! Kamaliza elfu 70 nzima hata mia hajaionani wahuni tu
Halafu, wanavyo zisifia kwenye vyombo vya habari, hasa clouds, huwa sielewi..
Voda ni wahuni kupindukia, kusema kweli kwa sasa naangalia namna ya kuacha kutumia mtandao huu.