sosolegrande
Member
- Feb 23, 2015
- 13
- 8
Range rover
Ni gari ya kiingereza ikiwa imetengenezwa mwanzo mwa miaka ya 1965 -1970 ikiwa na mfumo wa SUV ( sport utility Vehicle) na kiwanda cha LAND ROVER
Wametengeneza aina nyingi sana tuanze na hii kwanza!
FIRST GENERATION
RANGE ROVER CLASSIC
hii ndo range rover ya kwanza kabisa kuwah kutengenezwa na ilizinduliwa mwaka 1970.
Ikiwa na Body style ya milango 3 na 5 pia hizi zilikua na mifumo ifuatayo kwa engne
3.5 L V8 134 hp Carburettor
3.5 L V8 155 hp
3.9 L V8 182 hp
4.2 L V8 200 hp
2.4 L 112 hp VM Turbodiesel
2.5 L 119 hp VM Turbodiesel
2.5 L 111 hp 200TDi Turbodiesel
2.5 L 111 hp 300TDi Turbodiesel
Transmission:
5 speed automatic
5 speed manual
hizi zilikua na speed sana kias kuzishika noma sana, ikasemekan had mwanzon mwa miaka ya 80 kuwa haitakiwa kuonekana mbele ya majengo ya fedha hususan benk! Tujuulize je ni kweli na kwann!?
Pia inauwezo wa kumudu barabara zote off road na Tarmac road kwa hali ya juu huku vifaa vyake vikiwa vinapatikana kwa urahis kabisa.
SECOND GENERATIO
RANGE ROVER (P38A)
Kutengenezwa 1991-2002 ikiwa na mfumo wa aina tofauti kwa engine:
4.0 L Rover V8
4.6 L Rover V8
2.5 L BMW M51 Turbodiesel I6
Transmission
4-speed automatic
5-speed manual
THIRD GENERATION
RANGE ROVER VOGUE(Range Rover (L322)
Kutengenezwa 2001 - 2012
Engine
Petrol engines:
4.2 L Jaguar AJ-V8 Supercharged V8 (20062009)
4.4 L BMW M62 V8 (20022006)
4.4 L Jaguar AJ-V8 V8 (20062009)
5.0 L Jaguar AJ-V8 Supercharged V8 (20092012)
Diesel engines:
3.0 L BMW M57 TD I6 (20022006)
3.6 L Ford Lion V8 TD V8 (20072010)
Transmission:
8-speed automatic[10] (since 2010)
6-speed automatic (since 2006)
5-speed automatic (20022005)
wakaonesha uweZo wao katika kutengeneza SUV kwa mfumo wa kisasa zaid huku ikibak na culture ya kirange Rover zaid.
FOUTH GENERATION
RANGE ROVER Range Rover HYBRID (L405)
Kutengeneza tangu 2012
Engine
3.0 L V6 Diesel
4.4 L V8 Diesel
5.0 L V8 Petro
Transmission
8-Speed Automatic
Hii ndo gari inayotumia mfumo wa hybrid electric
diesel technology Engine
Ni moja ya Range rover za kisasa kabisa kuwai kutengenezwa!
Range Rover Evogue
Hii ilianza kutengenezwa toka mwaka 2011 lakin ikatoka rasmi mwaka 2014 land rover wameitengeneza gari hili linalotumia technology ya lower CO2 emissions na ni mahususi kwa wale ma economist wa mafuta wale wabahili wanaotaka kua na gari zuri lisilokula mafuta hii ni yenu kabisa
Engine:
Engine2.0 L EcoBoost I-4 (t/c petrol)
2.2 L Duratorq I-4 (t/c diesel)
Transmission
6speed Getrag M66EH50 manual
6speed Aisin AWF21 automatic
9-speed ZF Friedrichshafen 9-HP automatic
RANGE ROVER STOMER
Sasa hii ni kampuni ya ki marekan inayotumia technolgy katika kuya develop Range rovers to other forms of Range Rover!
FIrst Generation of Range Rover Stomer
RANGE ROVER SPORT
Engine
Petrol engines:
4.2 L Jaguar AJ-V8 Supercharged V8
4.4 L Jaguar AJ-V8 V8
5.0 L Jaguar AJ-V8 V8 (20092012)
5.0 L Jaguar AJ-V8 V8 Supercharged (20092012)
Diesel engines:
2.7 L Ford Lion V6 TD V6
3.0 L Ford Lion V6 TDV6(20092012)
3.6 L Ford Lion V8 TDV8
Transmission
8-speed automatic
6-speed ZF automatic
6-speed ZF HP28 automatic
hii ni moja kati ya matoleo mazuri na ya uhakika kabisa katika historia ya campuni ya Land Rover.. Ni moja kati ya magari yaliouzwa sana dunia nzima! Ikiwa ni developed na Range Stormer concept vehicle the company
Sencond Generation
Second generation (codename L494)
Hili ni toleo jipya la Range rover Sport ikiwa ni ya kisasa zaid kuliko ile ya mwanzo ikiwa imetoka 2014 ikiwa na mfumo mpya Kabisa wa Magnetorheological dampers pamoja na Active exhaust system with electronically controlled valves. Kwa hyo toka first generation ya Range rover tumeona manadiliko makubwa hasa kwenye technology pamona na kuongezeka kwa ufanisi wa gari pia computability kwa maana ikiwekwe mifumo ya kidigital zaid pamoja na uwezo wa kuwamudu wapinzani wake wote
Leo tumeichambua Range Rover Next time tutaichambua TOYOTA VX
Ni gari ya kiingereza ikiwa imetengenezwa mwanzo mwa miaka ya 1965 -1970 ikiwa na mfumo wa SUV ( sport utility Vehicle) na kiwanda cha LAND ROVER
Wametengeneza aina nyingi sana tuanze na hii kwanza! FIRST GENERATION