Tuweni makini sana na haya mambo

Tuweni makini sana na haya mambo

G55-MGODI

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
1,353
Reaction score
1,825
Kwenye chuo kimoja cha kitabibu profesa aliwaingiza Wanafunzi kwenye chumba chenye maiti akawambia sifa za udaktari ni kutokuwa na kinyaa na pili ni kuwa makini akaingiza kidole chake kwenye njia ya haja kubwa ya maiti mmoja kisha akalamba halafu akawambia wote wafanye hivyo ......na wote wakafanya hivyo .....akawambia zoezi la kutokuwa na kinyaa mmefaulu ila kutokuwa makini mmefeli .....mimi niliingiza kidole cha kati lakn nikalamba kidole cha pili toka gumba .....

Nasikia pfofesa alizikwa kabla ya maiti ile ..
 
MKUU UNA KASI YA KUPOST,LEO SIKU YA TATU TU UTADHANI UMEJIUNGA MWAKA 2013,DUUH SIO KWA MWENDOKASI HUU!
 
Ukitaka kuishi binadamu wapendavyo utakonda...ishi upendavyo....
 
Ila kijana wangu GedsellianTz unatudanganya sie wazee wenu, yaani huyo profesa ukilamba hakufuatilii kwamba umelamba kidole gani ila shida yake ni kuingiza tu na kutoa ili harufu iwepo?
 
Back
Top Bottom