A ADRIAN Senior Member Joined Dec 31, 2012 Posts 113 Reaction score 27 Jan 25, 2016 #1 Wanajukwa salamu! Napenda kuwashauri wazazi na walezi kwa ujumla kuhakikisha mnawekeza kwenye Elimu kwa ajili ya watoto wenu kwa manufaa yao ya badae. Maendeleo yoyote hutokana na Elimu bora. Asanteni. Tukutane Whatsapp 0767462729
Wanajukwa salamu! Napenda kuwashauri wazazi na walezi kwa ujumla kuhakikisha mnawekeza kwenye Elimu kwa ajili ya watoto wenu kwa manufaa yao ya badae. Maendeleo yoyote hutokana na Elimu bora. Asanteni. Tukutane Whatsapp 0767462729
P pere Member Joined Jan 4, 2016 Posts 12 Reaction score 0 Jan 25, 2016 #2 Serikali imeishatusaidia Elimu bure hvo tulijitaid kuwekeza kwenye siasa safi hakuna haja ya kuangalia elimu kwa upandewa wazazi bali tumewaachia serkali.
Serikali imeishatusaidia Elimu bure hvo tulijitaid kuwekeza kwenye siasa safi hakuna haja ya kuangalia elimu kwa upandewa wazazi bali tumewaachia serkali.