Tuweke vituko vya watoto wetu hapa ambavyo wewe kama mzazi ulimuona au unaona mtoto wako anafanya.
Chaweza kuwa cha kuchekesha au kukufanya ufikirie tu kwa nini mtoto wako kafanya hivyo .
Mi kituko nilichoshuudia kuna mtoto wa Jirani hapa ukisahau sabuni tu dakika sifuri tu imeshaliwa na huyo mtoto,
Yaani ni wa kumuangalia sana ni one mistake one goal.
Nb;Lakini licha ya vituko vya wanetu ni vituko hivyo hivyo ndivyo vinatufanya tuinjoi sana kuwa na familia .
Weka cha mwanao hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh amshike duduNdugu hapa ninapoishi kuna mtoto wa kiume muda wote analia hadi mamake amshike dudu ndo anatulia.Yan ni kero aseee
Hiyo ya kushika dudu ni Noma siku ataombwa anyonyweNdugu hapa ninapoishi kuna mtoto wa kiume muda wote analia hadi mamake amshike dudu ndo anatulia.Yan ni kero aseee
...Some years back nilikuwa kwenye daladala nimekaa na dada mmoja na mtoto wake wa about 4 yrs. Sasa wakati mama analipa nauli kwa konda (alitoa elfu kumi) mtoto hakuona, alikuja kuona mama anapokea chenji toka kwa konda. Aisee ghafla yule mtoto akatamka ' mama leo naenda kumwambia baba unachukua hela kwa watu, ntamwambia baba, ntamwambia...' aisee basi zima liliangua kicheko...
Acha masihara basi...!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ndugu hapa ninapoishi kuna mtoto wa kiume muda wote analia hadi mamake amshike dudu ndo anatulia.Yan ni kero aseee
Hahahah miii mwenyewe uku nmeangua kiçheko...Some years back nilikuwa kwenye daladala nimekaa na dada mmoja na mtoto wake wa about 4 yrs. Sasa wakati mama analipa nauli kwa konda (alitoa elfu kumi) mtoto hakuona, alikuja kuona mama anapokea chenji toka kwa konda. Aisee ghafla yule mtoto akatamka ' mama leo naenda kumwambia baba unachukua hela kwa watu, ntamwambia baba, ntamwambia...' aisee basi zima liliangua kicheko...