tuwe wazi kiukweli?

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
sababu gani zinakufanya uendelee kuishi na mkeo/mmeo hadi sasa? 1:watoto 2:wazazi watalaani 3:ndoa ya kikristo haina talaka? kwa walio wakristo 4:navumilia 5:bado nampenda 6:tunaishi kwa mazoea 7:mali zake (fungukeni,,,,,,,)
 
Waislamu mbona umetubagua?

Hapo no 3 kuungekuwa a na b.
A) ndoa ya kikristo haina talaka kwa walio wakristo.

B) ndoa ya kiislamu tuko wake wengi, hvo twasaidiana majukumu hvo siichoki ndoa mapema.

Ni mawazo yangu lakini.
 
Waislam mbona umetubagua?

Hapo no 3 kuungekuwa a na b.
A) ndoa ya kikristo haina talaka kwa walio wakristo.

B) ndoa ya kiislamu tuko wake wengi, hvo twasaidiana majukumu hvo siichoki ndoa mapema.

Ni mawazo yangu lakini. Nashukuru mkuu kwa kunirekebisha! na kwa mchango pia!
 
Hamna jibu hata mmoja hapo........!
Tunaomba na wewe utupe jibu au sababu yako...........................!
 
Mimi menyewe najishangaa from no where bado tunaendelea kuishi pamoja.
 
i see mi bado nampenda mume wangu
uuuiwih!
booonge la rafiki!
hata ingebidi ndotuachane mbn ningeolewa nae tena!yani ningemchagua mazima!
lol!:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Aisee sioni jibu none of the above kwa kweli siwezi sema nini hasa kinaniweka pale kwangu mimi nimefichiwa siri hii.
Nivema kuwa na chaguo sahihi la mwenza wa maisha asiwe mume tu bali rafiki wa karibu sana,ull enjoy kwa kweli .tena ushanikumbusha ngoja niondoke sasahivi!!
 
Jibu rahisi kwa swali lako rahisi ni moja tu:

Sababu kubwa(kila mtu anayo yake) ni ile iliyokupelekea ukafikia uamuzi wa kuoa au kuolewa.

Hizo ulizozitaja hapo juu, naona zinalenga moja kwa moja watu walio kwenye ndoa
 
ha haaaa, ningeshangaa nisingeona jibu kama hili, lol!:yo:
 
jmn namba 4 na 6 hamuioni? mi natupa jiwe gizani,,,,,,, nani limempata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…