Tuwe wakweli hapa

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,467
Reaction score
3,983
Unampenda Boyfriend/ girld friend yupi ambaye unaona atakufaa na atakua mke wa kukupa mahaba uyapendayo

1. Mdogomdogo

2. Mnayelingana umri,

3. Anaye kuzidi umri.
 
Katika wanawake ambao nilishawahi kuwa na mahusiano nao walionizidi umri hawajawahi kunisumbua, ila kuna hivi vishokomzobe vya chuo unaweza kupasuka kichwa.

Nenda rudi nyingi, leo yes kesho no. Yan ilimradi kakuone unapata shida. Aaah!!
 
Umetoa maelezo mareeefu sjui jibu lako ni namba ngapi
 
Mdogo mdogo ndio mpango mzima, yaani kama Kapuya vile [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Katika wanawake ambao nilishawahi kuwa na mahusiano nao walionizidi umri hawajawahi kunisumbua, ila kuna hivi vishokomzobe vya chuo unaweza kupasuka kichwa.

Nenda rudi nyingi, leo yes kesho no. Yan ilimradi kakuone unapata shida. Aaah!!
[emoji23][emoji23]
 
Wanaume tunapenda sana warembo wadogo kwasababu kadhaa
1.mwanaume anakuw anajiamin hasa kwenye sex
2.wadogo huwa more attractive kwakuw wana standing breasts yaani sexual hormones zao ziko more active
3.papuch bado inatait wakat wa tendo so wanakuwa bado watamu sana(but it depends anaweza akawa young but ni bonge la slut
 
Me wangu nimemzidi 5 yrs though kajaliwa umbo, lakini hainipi shida. kuna saa nam_treat like kid na ana enjoy kinoma noma, nilimuokota kule kwenye jalala linaloitwa "slay queen" nikambadilisha vile niwezavyo. now yupo vile nilivyotaka mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…