Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Wana chadema wengi sana wanakejeli juhudi za Serikali ya awamu ya tano chini ya Raisi Magufuli kwamba hakuna chochote kinachofanyika, wanashutumu jitihada za Serikali kutoa Elimu bure kwa kifupi wanalaumu kila kitu anachokifanya Raisi Magufuli na Uongozi wake!
Sasa swali kwenu wana chadema kama ingetokea bahati mbaya kwetu Watz na mkawa madarakani leo hii kwa hizi siku 100 mngefanya nini tofauti?
Zingatieni kwamba mngeirithi nchi kama vile Raisi Magufuli alivyoirithi kwamba hata fedha za kulipa mishahra alikuwa hana, wagonjwa wanalala chini Hospitalini, Dawa hakuna, mizigo inapita bila kulipishwa kodi, n.k Je mngefanya kipi tofauti au bora hasa kwenye utowaji wa Elimu ndani ya siku 100 madarakani? Kwa maana pia Mgombea wenu fisadi Lowasa aliahidi Elimu bure tena mpaka Chuo Kikuu, sasa Je leo hii ndani ya siku 100 Watoto wangesoma bure mpaka Chuo Kikuu?
Ikumbukwe kwamba Raisi Magufuli analaumiwa na wana chadema kwa staili yake ya kuvamia na kushtukiza maofisini, Bandarini na sehemu nyingine kwenye uozo ina maana chadema wasingefanya hivyo, sasa Je swali langu wangefanyaje tofauti ili baada ya siku 100 kama leo muwe na cha kuonyesha kwamba fedha kweli zimekusanywa?
Kuhusu ujangili Raisi Magufuli ameteua Mwanajeshi mkapinga leo hii Majangili walioangusha helikopta wameshakamatwa ndani ya muda mchache na kuhukumiwa tayari bado chadema walilalamika, Je hapa pia mngefanya nini tofauti?