ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Pamoja na Mazuri na upendo aliotuonyesha watanzania Marcio Maximo alionekana hafai alitimuliwa
Wakapita walimu kadhaa hapo kati akiwemo mzawa Ndg Mkwasa wakaondolewa.. Amunike mkufunzi wa ufundi anayetambulika na FiFA naye hafai katimuliwa!
Pengine tunajisahau kuangalia upande mmoja tu wa mwalimu kumbe kuna upande mwingine wa wachezaji pia chama cha soka(TFF) huko kuna salama gani?
Nimemsikia msemaji wa TFF akijitetea kuwa kutimuliwa kocha si kitu cha ajabu kwani hata mataifa mengi yamefanya hivyo!!
Kwa mwenendo huu tunaoenda yaonyesha tutafukuza hata makocha mia
Hilo benchi la ufundi lililowekwa sasa ni kama mabenchi yaliyopita yalikua na afadhali kuliko hili jipya!
Tunatakiwa tutafute suluhisho la muda mrefu... Baada Ya kujiona nyanya Madagascar walijitoa kabisa ushiriki mashindano ya kimataifa kwa miaka kadhaa kama walivyofanyaga Cape Verde matokeo yake yameobekana afcon Ya mwaka huu angalau wamekufa kiume hapo jana robo fainali.
Hebu tuchukue hatua sasa.