watanzania wote naomba tuionee huruma nchi yetu,kelele zimekuwa nyingi na inaonekana serikali haiwezi kufanya kazi zake jinsi inavyotakiwa,tunamnyima kikwete ujasiri wa kufanya kazi kwa sababu anahisi tunamdharau,maandamano ya chadema yanakwamisha uwajibikaji wa serikali ya ccm,hasara ni ya nani kama sio yetu sote,miaka mitano ni mingi sana kama mambo yataendelea hivi naona mwisho wake tutapata hasara kubwa sana.
maoni yangu kwa taifa hili kwa muda huu ni haya yafuatayo:
Code:
naomba tathimini ifanyike kuhusu hii serikali iliyopo madarakani
,
TATHIMINI gani zaidi ya uchaguzi ambao ****** aligaragazwa vibaya dadaangu, akaamua kutumia mlango wa emergency?...
Code:
kama wanakubalika kwa wananchi kwa zaidi ya asilimia 50 naomba tuwaache wafanye kazi wamalize muda wao,
.Hawakubaliki, na unajua hilo...KILA LINALOFANYIKA SASA NI USHAHIDI KUWA WATU HAWAKUMCHAGUA HATA KWA 35%.
PHP:
kama hawakubaliki zaidi ya asilimia 50 tutafute njia za kuwatoa madarakani japo itatucost sana,
Dada, hii ndiyo kazi inayofanyika muda huu...tulia!..kama ni mwoga kaa kushoto uone kitakachofuatia in no time.
HTML:
tukiweza kuwatoa tuunde serikali yetu ya mpito itakayofanya kazi mbili peke yake,
Nimegundua wewe ni mwanaharakati, lakini shida yako uwoga...
Code:
kazi ya kwanza iwe kuunda katiba mpya ikishirikiana na asasi zote pamoja na wanachi wote
Actually unaongelea mambo ambayo tayari yanafanyika...Katiba iko kwenye hatua ya awali ya mjadala kwa sasa.
Code:
kazi ya pili iunde tume mpya ya uchaguzi isiyofungamana na upande wowote.
Hii ni mojawapo ya requirements za katiba mpya...right?
PHP:
hiyo seerikali ya mpito inaweza kufanya kazi miaka miwili tufanye uchaguzi mkuu kwa vyovyote atayepata ushindi itakuwa ni halali.
Kwasasa hiyo process ni ndefu...kuwapa wananchi elimu ya uraia kutarahisisha na kutibu shida hii hata kwa future!...Subiri cdm imalize kazi.
HTML:
jamani muda unasogea na tunazidi kuupoteza
..Ni bora tupoteze sasa, lakini tuhakikishe tumekitengenezea kizazi kijacho system inayoeleweka!
!YOU TOO!