Tuwe makini

Tuwe makini

lucas ngoto

Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
69
Reaction score
3
Cku zimebaki ndogo ili kuumaliza mwaka huu ni vizuri tukawa makini make shetan hunywa damu za watu nyakati kama hizi tumwobe mungu kila wakati atuepushe
 
Cku zimebaki ndogo ili kuumaliza mwaka huu ni vizuri tukawa makini make shetan hunywa damu za watu nyakati kama hizi tumwobe mungu kila wakati atuepushe

rudi darasani nyama we. Mungu ni proper noun lazima cku zote neno hili lianze na capital letter
 
Ingekuwa jambo la mbolea ungetupia PICHA ZA HUYO SHETANI anavyonyonya damu mwisho wa mwaka!
 
Utukufu hauwezi kuwakilishwa kwa herufi kubwa
Cc:kiranga
 
Aya wakuu devil mwenyewe uyu apaaaa na damu zake
 
Attachments

  • 1386649595273.jpg
    1386649595273.jpg
    3.8 KB · Views: 126
Back
Top Bottom