Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Nov 17, 2016 #1 Nimetumiwa sms na bodi ya mikopo kuwa nadaiwa .wamenipa siku 30 nijisalimishe. Nimewambia mbona sijasoma chuo kikuu wananambia mbona kila siku najiunga vifurushi vya chuo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimetumiwa sms na bodi ya mikopo kuwa nadaiwa .wamenipa siku 30 nijisalimishe. Nimewambia mbona sijasoma chuo kikuu wananambia mbona kila siku najiunga vifurushi vya chuo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,868 Reaction score 15,735 Nov 19, 2016 #2 Hahahaha,umetishaaa