Tuwe makini wanasiasa wanatuchonganisha

Tuwe makini wanasiasa wanatuchonganisha

kuz

Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
51
Reaction score
58
Ndgu zangu poleni na majukumu,

Kama mtanzania nimesikitishwa sana na kauli alizotoa Mh. Msigwa huko Nairobi, Msigwa anadai wanausalama wanamtafuta yeye na wenzake wawaue ni jambo la kushangaza.

Ukijiuliza vizuri, Msigwa ni nani mpaka atafutwe? Ana nini cha ziada?
Mchungaji huyu anataka kutumia janga hili la mheshimiwa Lissu kutafuta kiki kiasi kwamba naye ni mtu wa kipekee kama Lissu.

Tuwe makini maana wanatuchonganisha na serikali tuione haifai kumbe wao ndiyo hawafai maana wana ajenda zao binafsi kuliko za kitaifa.

Nampongeza sana Mh. Mbowe ni mtu anayetumia busara na hekima kubwa sana wakati wa mambo kama haya, Mara nyingi amekuwa ni mtu mvumilivu,mstahimilivu na mnyenyekevu sana si mtu wa kuongelea jambo asilokuwa na uhakika nalo.

Msigwa kwa hali hii unajijusha hadhi kuliko unavyofikiria kujipatia kiki, umeongea BBC mambo yasiyo na maana wala uhakika kazi yako kelele na kutafuta umaarufu wa kisiasa.

TUWENI MAKINI NAO WATU KAMA HAWA
 
Hata Lisu mlisema hivyo hivyo akapigwa lisasi!!
Kwa hiyo unataka tupuuze sio? Ili wasijulikana watende mambo yao kwa amani sio,Lisu alikuwa na tofauti gani na hao wengine?
Kati ya waliotajwa ni nani hana thamani ya utu kati yao?
Inavyoonekana unaijua sababu iliyomfanya Lisu apigwe risasi ndio maana unasema hao wengine hawana hizo sifa sio?
Ushauri wako mzuri lakini huna akili ya kuwasilisha mada kama hiyo umezidiwa na mahaba ya kichama.
 
Anayetuchonganisha ni magu, hafuati katiba, amekataza mikutano ya kisiasa. Hataki mtu amkosoe wakati hii ni nchi ya vyama vyingi. Maneno ya msigwa ni matokeo ya matendo na maneno ya magu.
Magu akitaka kusifiwa tu afute vyama vyingi.
 
Kuna hii kauli mnapenda kuisema kuwa 'wanatafuta umaarufu' hivi mtu akiwa maarufu iwe kisiasa au vinginevyo inaiathiri vipi nchi yetu?!
 
Ndg zangu poleni na majukumu!!
Kama mtanzania nimesikitishwa sana na kauli alizotoa Mh Msigwa huko Nairobi,Msigwa anadai wanausalama wanamtafuta yeye na wenzake wawaue...ni jambo la kushangaza!!
Ukijiuliza vizuri,Msigwa ni nani mpaka atafutwe? Ana nn cha ziada?
Mchungaji huyu anataka kutumia janga hili la mheshimiwa Lisu kutafuta kiki kiasi kwamba naye ni mtu wa kipekee kama lisu.Tuwe makini maana wanatuchonganisha na serikali tuione haifai kumbe wao ndiyo hawafai maana wana ajenda zao binafsi kuliko za kitaifa.
Nampongez sana mh mbowe ni mtu anayetumia busara na hekima kubwa sana wakati wa mambo kama haya,Mara nyingi amekuwa ni mtu mvumilivu,mstahimilivu na mnyenyekevu sana si MTU wa kuongelea jambo asilokuwa na uhakika nalo!!!
Msigwa kwa hali hii unajijusha hadhi kuliko unavyofikiria kujipatia kiki,umeongea BBC mambo yasiyo na maana wala uhakika kazi yako kelele na kutafuta umaarufu wa kisiasa!!
TUWENI MAKINI NAO WATU KAMA HAWA
Hao wanampigia kampen Kenyatta indirect walishaona odinga anatumia falsafa za magufuli na jpm nchi anainyoosha wapinzani wakiona anayoyafanya wanachukia. lengo nikutaka odinga actumie jina LA magufuli huko Kenya tena wanasema hayo ili wawa amnishe kuwa raisi Wa Tanzania cyo mzri na ukizingatia odinga nirafki Wa raisi wetu Kwa hyo wameona in vyema wawe waropokaji , Kwa kuangalia tu Hugo msigwa ni wapi na lini alifatiliwa Leo hii anachukulia tukio LA lisu kutafuta kiki za kijinga ambazo hazna tija watakao mwelewa ni watu wenye akili kama zake
 
Mbowe anawapa kichwa Sana hawa MaCCM. Nadhani uchaguzi ujao hatagombea aachie vijana wenye uwezo wa kupambana na huu udikteta
 
Wanasiasa wakorofi, wenye midomo, wanao itunishia misuri serikari, ni wakuzibitiwa tu, hakuna namna

Hatuwezi kwenda kwa staili hii ya kuitishia na kuisingizia serikari kila jambo

Hao wanampigia kampen Kenyatta indirect walishaona odinga anatumia falsafa za magufuli na jpm nchi anainyoosha wapinzani wakiona anayoyafanya wanachukia. lengo nikutaka odinga actumie jina LA magufuli huko Kenya tena wanasema hayo ili wawa amnishe kuwa raisi Wa Tanzania cyo mzri na ukizingatia odinga nirafki Wa raisi wetu Kwa hyo wameona in vyema wawe waropokaji , Kwa kuangalia tu Hugo msigwa ni wapi na lini alifatiliwa Leo hii anachukulia tukio LA lisu kutafuta kiki za kijinga ambazo hazna tija watakao mwelewa ni watu wenye akili kama zake
Hata kwa mheshimiwa Lissu mlisema hivyo hivyo.
 
Ndgu zangu poleni na majukumu,

Kama mtanzania nimesikitishwa sana na kauli alizotoa Mh. Msigwa huko Nairobi, Msigwa anadai wanausalama wanamtafuta yeye na wenzake wawaue ni jambo la kushangaza.

Ukijiuliza vizuri, Msigwa ni nani mpaka atafutwe? Ana nini cha ziada?
Mchungaji huyu anataka kutumia janga hili la mheshimiwa Lissu kutafuta kiki kiasi kwamba naye ni mtu wa kipekee kama Lissu.

Tuwe makini maana wanatuchonganisha na serikali tuione haifai kumbe wao ndiyo hawafai maana wana ajenda zao binafsi kuliko za kitaifa.

Nampongeza sana Mh. Mbowe ni mtu anayetumia busara na hekima kubwa sana wakati wa mambo kama haya, Mara nyingi amekuwa ni mtu mvumilivu,mstahimilivu na mnyenyekevu sana si mtu wa kuongelea jambo asilokuwa na uhakika nalo.

Msigwa kwa hali hii unajijusha hadhi kuliko unavyofikiria kujipatia kiki, umeongea BBC mambo yasiyo na maana wala uhakika kazi yako kelele na kutafuta umaarufu wa kisiasa.

TUWENI MAKINI NAO WATU KAMA HAWA
Lissu aliposema anafuatiliwa si mlisema yeye ni nani hata afuatiliwe,haya kamiminiwa risasi unakuja kusema upupu humu.
 
Kwanza mtoa mada unatakiwa kujua kua wabunge wa upinzani ni wakioekee kuliko wale wa lumumba, maana wana akili nyingi mno ktk kulipigania taifa kuliko wale wanaotetea matumbo yao, leo utasikia miaka iongezwe kufikia 7.
Eti wanasiasa wanatuchonganisha km huwezi kuona kwa macho kua gari limekosa uelekea huwezi kuona hata aseme mbunge kutoka cuf ya lipumb...
 
Lissu aliposema anafuatiliwa si mlisema yeye ni nani hata afuatiliwe,haya kamiminiwa risasi unakuja kusema upupu humu.
Andika ambao sio upupu,mbona unatokwa povu kama mgonjwa wa kifafa
 
Kuna hii kauli mnapenda kuisema kuwa 'wanatafuta umaarufu' hivi mtu akiwa maarufu iwe kisiasa au vinginevyo inaiathiri vipi nchi yetu?!
Eti Lissu naye alikuwa anatafuta umaarufu.!!?
 
Mnauwa ili kulinda amani au hamtafanikiwa
masheitwani !!
 
Ndgu zangu poleni na majukumu,

Kama mtanzania nimesikitishwa sana na kauli alizotoa Mh. Msigwa huko Nairobi, Msigwa anadai wanausalama wanamtafuta yeye na w wewenzake wawaue ni jambo la kushangaza.

Ukijiuliza vizuri, Msigwa ni nani mpaka atafutwe? Ana nini cha ziada?
Mchungaji huyu anataka kutumia janga hili la mheshimiwa Lissu kutafuta kiki kiasi kwamba naye ni mtu wa kipekee kama Lissu.

Tuwe makini maana wanatuchonganisha na serikali tuione haifai kumbe wao ndiyo hawafai maana wana ajenda zao binafsi kuliko za kitaifa.

Nampongeza sana Mh. Mbowe ni mtu anayetumia busara na hekima kubwa sana wakati wa mambo kama haya, Mara nyingi amekuwa ni mtu mvumilivu,mstahimilivu na mnyenyekevu sana si mtu wa kuongelea jambo asilokuwa na uhakika nalo.

Msigwa kwa hali hii unajijusha hadhi kuliko unavyofikiria kujipatia kiki, umeongea BBC mambo yasiyo na maana wala uhakika kazi yako kelele na kutafuta umaarufu wa kisiasa.

TUWENI MAKINI NAO WATU KAMA HAWA
Kuz wewe ni mtwala unajaribu kujibalaguza na hila zenu zinafahamika ila Mungu hatakubali maovu yenu
 
Unasema anaonge bila kuw na uhakika, jee huo uhakika wewe ndiyo unao ??? Anaye sema ni yeye ana vigezo vyake, ulimtaka uhakika hakukupa ? Au wewe ni nani unayetaka tukuamini wewe tusimwamini yeye anayeongea kuhusu uhai wake?
Au wewe ni mmoja wa wawindaji hivyo unajua wanaowindw kwamba yeye hayumo ??? Hebu funguka !!
So far mwana siasa ni nani ???
 
Back
Top Bottom