TUWE MAKINI TUNAOTAFUTA AJIRA

TUWE MAKINI TUNAOTAFUTA AJIRA

Mello

Senior Member
Joined
May 7, 2017
Posts
110
Reaction score
207
Nawasalimu Ndugu zangu,
Poleni na Majukumu lakini Hongereni kwa Sikukuu ya Pasaka.
Wiki Mbili zilizopita niliitwa kwenye Interview Katika Kampuni Moja ya Vinywaji Baridi na Bidhaa za Chakula Mkoa wa Pwani. Nikafanya Interview ya Kwanza Kwa Kiswahili, hii ilikua ni mara yangu ya kwanza kufanya Interview kwa Kiswahili, Baadae wakurugenzi wale wakanitaka niwape Mipango na Mikakati yangu ya Jinsi nitakavyo wakwamua hapo walipo kuhakikisha bidhaa zao zinafanya vizuri Sokoni. Wakanitaka niweke kwenye Proposal. Kwavile ni mtaalamu katika hiyo Sekta, sikuona tabu nikarudi Nyumbani nikakaa na laptop yangu, nikaandika Strategies and Action Plan kama walivyonitaka. Nikawatumia kwenye Email, Baadae wakanipigia simu kua wamependa nilichokiandika so wakanitaka Niende kufanya presentation kwa kile nilichowaandikia. Siku ya Tatu ikanibidi niende kufanya Presentation. Kweli nikafanya Vizuri, Japo wakaniomba niibadilishe niiweke kwa Kiswahili, Nikafanya hivyo. Ikabidi tufanye Makubaliano ya Mshahara, nakawatajia kiwango ambacho ningependa kulipwa, wakalialia hapo tukashuka mpaka 2.5M. Sasa mmoja wa wakurugenzi akanitaka niingie Field nione Soko lake likoje, Kwavile nilikua Nipo mtaani tu nikaona isiwe tabu kesho yake nikaingia Sokoni kuangalia Soko lake, Kiukweli halikua zuri kabisa, kuna kazi Ilihitajika. Nilifanya research ndogo tu nikagundua kuna kazi kubwa sana, Kesho yake nikampa Results. Siku ya Tano Nika report ofisini kwakua aliniita Tuongee. Akaanza kunipa Majukumu ya kufanya. Nikamwambia haya Majukumu mbona kama ndo nimeshaanza Kazi? Vipi Kuhusu Mkataba na makubaliano yetu inabidi tuyaweke kwenye Maandishi ili niwe comfortable na ww pia uwe Huru. Hapo ndo bla bla zilipoanza, Mara Mkataba siwezi Kukupa kwa sasa kwakua Mimi sijui uwezo wako, Mara inabidi Tuanze kwanza na Mwezi Mmoja nikuone, na Kwa kipindi hiki itabidi Ujigharamie kila kitu baada ya huo mwezi ndo Tuanze sasa kulipana. Wakati huo amenipa Target ya Mil.200 kwa mwezi. Wakuu sikuamini wale jamaa walivyonibadilikia dakika za mwisho. Ikanibidi niwe kimya nikarudi ofisini kwangu, Baadae nikaita Team yake ya Sales, Nikaanza kuongea nao, Mambo waliyonieleza Ni ya Ajabu sana, nikaenda mbali nikafanya Uchunguzi nikagundua Mimi nilikua ni Sales Manager wa Nne katika Kipindi cha November 2017 mpaka March 2018. Yaani Anachokifanya akigundua wewe ni Potential anakuita vzr kwa Interview, Anakuomba Plan zako una mwandikia kisha anakuita unamuelekeza utafanyaje hizo Plan, Kisha anakutibua ili Uondoke then zile Plan anazitumia yeye, Cha Kusikitisha Bado hafanyi vizuri Sokoni kwasababu hawezi Kuiba Akili zako huo Ndo Ujinga wake. Kingine ni Kwamba Halipi Mishahara Kabisa Vijana wake ukiwaona wanatia Huruma. Ambacho namsifia pamoja na huo Utapeli wake bado ana bidhaa nzuri lakini hawezi na Ameshindwa Kabisa kupenetrate kwenye Soko. So Tuwe Makini na Waajiri wa namna Hii, Ikiwezekana na wakati Sasa wa Kulipwa Commitment Fee. Maana Idea zetu zinatumika Kirahisi hivyo. Niliumia sana nilivyotoa Idea zangu kwa Mtu Mbabaishaji kama huyu.
 
Aisee,hao ndo nawataka mimi,hapo ndo pakutokea kwa watu wajinga kama wale,ungetenga wiki 2 tu za kuhakikisha utamwibiaje,hakuna kuremba
 
Sipingani Na wewe hayo yanawezekana Ila kama upo mtaan as a salesman umefanya kazi mwezi mmoja hujalipwa mshahara mwezi wapili hujalipwa mshahara Na wewe n salesman wa ukweli Na products umesema zipo vizuri duh unanisikitisha sana kijana wa kitanzania kama huna kazi kikija mbele yako chochote take it huwezi jua Ila nisije kushangaa umerudi kulala nyumbani Na kazi umeiacha ntajumlisha hiki Na kile kilichopita wiki mbili nyuma nijitolee kukushauri.

Kwahyo umepiga kazi chini?
 
Sipingani Na wewe hayo yanawezekana Ila kama upo mtaan as a salesman umefanya kazi mwezi mmoja hujalipwa mshahara mwezi wapili hujalipwa mshahara Na wewe n salesman wa ukweli Na products umesema nipo vizuri duh unanisikitisha sana kujaza wa kitanzania kama jina kazi kikija mbele yako chochote take it huwezi jua Ila nisije kushangaa umerudi kulala nyumbani Na kazi umeiacha ntajumlisha hiki Na kile kilichopita wiki mbili nyuma nijitolee kukushauri.

Kwahyo umepiga kazi chini?
Sijui kama Umeelewa Nilichokisema. Unawezaje kufanya kazi Bila Mkataba wa Maandishi? Unanipaje Target na Majukumu Mengine Bila kuweka Kwenye Maandishi? Nimekwambia Mimi ni Sales Manager wa Nne katika Kipindi cha Miezi Mitano, Inamaana Kuna watu watatu wamefanyiwa mchezo niliyofanyiwa Mimi. Anachofaka ni Ideas zako tu. Cha Ajabu hata Implementation hawezi.

Note: I am not a SalesMan, Ni Senior Sales and Marketing Manager.
Pili, Yes Nimeiacha hiyo nafasi nakumtaka aweke makubaliano yetu kwenye Maandishi kwanza, kwa maana sina cha kupoteza kwasababu nipo Mtaani, bado nina part-time job ambazo ninafanya pale zinapotokea. Am not desperate na Kazi kama hizo za kitapeli. Ni kweli Natafuta Ajira lakini si Kwa Upuuzi huu ambao hiki Kiwanda unafanya.
 
Sipingani Na wewe hayo yanawezekana Ila kama upo mtaan as a salesman umefanya kazi mwezi mmoja hujalipwa mshahara mwezi wapili hujalipwa mshahara Na wewe n salesman wa ukweli Na products umesema zipo vizuri duh unanisikitisha sana kijana wa kitanzania kama huna kazi kikija mbele yako chochote take it huwezi jua Ila nisije kushangaa umerudi kulala nyumbani Na kazi umeiacha ntajumlisha hiki Na kile kilichopita wiki mbili nyuma nijitolee kukushauri.

Kwahyo umepiga kazi chini?
Mimi hua naona Mabandiko yako ya nafasi za Kazi hapa. Nikushauri tu Ndugu, Nipo kwenye Industry Hii muda mrefu najua kampuni ambayo Ipo serious na Ipi inababaisha. Ukiona Kampuni haina hata Official Website, Email inatumia Gmail au Yahoo. Ujue Kuna Tatizo mahala, Yaani hiyo si Kampuni. Wewe Usichukulie watu kua kwa sababu wanatafuta Ajira na Wapo desperate na Ajira basi wafanye tu Kazi Kijingajinga. [HASHTAG]#Never[/HASHTAG] Ni Bora Tukubaliane basi kwamba najitolea kuliko tukubaliane Kulipana Mshahara halafu Usiweke kwenye Maandishi, Why Unaogopa Nini? Je hao waliyoondoka in less than a Month Pia wana matatizo? Acha Ujuaji Kaka. Au Unataka Niwataje hapa Uone kama hawatajitokeza Watanzania Wengine watakao Ilalamikia?
 
Ingekuwa vizuri kama ungeitaja hiyo kampuni hapa jina lake ili wengine wawe makini na utapeli wao, maana wanavofanya sio viziri
 
Nawasalimu Ndugu zangu,
Poleni na Majukumu lakini Hongereni kwa Sikukuu ya Pasaka.
Wiki Mbili zilizopita niliitwa kwenye Interview Katika Kampuni Moja ya Vinywaji Baridi na Bidhaa za Chakula Mkoa wa Pwani. Nikafanya Interview ya Kwanza Kwa Kiswahili, hii ilikua ni mara yangu ya kwanza kufanya Interview kwa Kiswahili, Baadae wakurugenzi wale wakanitaka niwape Mipango na Mikakati yangu ya Jinsi nitakavyo wakwamua hapo walipo kuhakikisha bidhaa zao zinafanya vizuri Sokoni. Wakanitaka niweke kwenye Proposal. Kwavile ni mtaalamu katika hiyo Sekta, sikuona tabu nikarudi Nyumbani nikakaa na laptop yangu, nikaandika Strategies and Action Plan kama walivyonitaka. Nikawatumia kwenye Email, Baadae wakanipigia simu kua wamependa nilichokiandika so wakanitaka Niende kufanya presentation kwa kile nilichowaandikia. Siku ya Tatu ikanibidi niende kufanya Presentation. Kweli nikafanya Vizuri, Japo wakaniomba niibadilishe niiweke kwa Kiswahili, Nikafanya hivyo. Ikabidi tufanye Makubaliano ya Mshahara, nakawatajia kiwango ambacho ningependa kulipwa, wakalialia hapo tukashuka mpaka 2.5M. Sasa mmoja wa wakurugenzi akanitaka niingie Field nione Soko lake likoje, Kwavile nilikua Nipo mtaani tu nikaona isiwe tabu kesho yake nikaingia Sokoni kuangalia Soko lake, Kiukweli halikua zuri kabisa, kuna kazi Ilihitajika. Nilifanya research ndogo tu nikagundua kuna kazi kubwa sana, Kesho yake nikampa Results. Siku ya Tano Nika report ofisini kwakua aliniita Tuongee. Akaanza kunipa Majukumu ya kufanya. Nikamwambia haya Majukumu mbona kama ndo nimeshaanza Kazi? Vipi Kuhusu Mkataba na makubaliano yetu inabidi tuyaweke kwenye Maandishi ili niwe comfortable na ww pia uwe Huru. Hapo ndo bla bla zilipoanza, Mara Mkataba siwezi Kukupa kwa sasa kwakua Mimi sijui uwezo wako, Mara inabidi Tuanze kwanza na Mwezi Mmoja nikuone, na Kwa kipindi hiki itabidi Ujigharamie kila kitu baada ya huo mwezi ndo Tuanze sasa kulipana. Wakati huo amenipa Target ya Mil.200 kwa mwezi. Wakuu sikuamini wale jamaa walivyonibadilikia dakika za mwisho. Ikanibidi niwe kimya nikarudi ofisini kwangu, Baadae nikaita Team yake ya Sales, Nikaanza kuongea nao, Mambo waliyonieleza Ni ya Ajabu sana, nikaenda mbali nikafanya Uchunguzi nikagundua Mimi nilikua ni Sales Manager wa Nne katika Kipindi cha November 2017 mpaka March 2018. Yaani Anachokifanya akigundua wewe ni Potential anakuita vzr kwa Interview, Anakuomba Plan zako una mwandikia kisha anakuita unamuelekeza utafanyaje hizo Plan, Kisha anakutibua ili Uondoke then zile Plan anazitumia yeye, Cha Kusikitisha Bado hafanyi vizuri Sokoni kwasababu hawezi Kuiba Akili zako huo Ndo Ujinga wake. Kingine ni Kwamba Halipi Mishahara Kabisa Vijana wake ukiwaona wanatia Huruma. Ambacho namsifia pamoja na huo Utapeli wake bado ana bidhaa nzuri lakini hawezi na Ameshindwa Kabisa kupenetrate kwenye Soko. So Tuwe Makini na Waajiri wa namna Hii, Ikiwezekana na wakati Sasa wa Kulipwa Commitment Fee. Maana Idea zetu zinatumika Kirahisi hivyo. Niliumia sana nilivyotoa Idea zangu kwa Mtu Mbabaishaji kama huyu.

Anataka vya buree tu,ukitaka kula sharti uliwe
 
Umenikumbusha sakata la Interview Hewa mkoani Arusha...kuna watu wana dhambi sana..
 
Sipingani Na wewe hayo yanawezekana Ila kama upo mtaan as a salesman umefanya kazi mwezi mmoja hujalipwa mshahara mwezi wapili hujalipwa mshahara Na wewe n salesman wa ukweli Na products umesema zipo vizuri duh unanisikitisha sana kijana wa kitanzania kama huna kazi kikija mbele yako chochote take it huwezi jua Ila nisije kushangaa umerudi kulala nyumbani Na kazi umeiacha ntajumlisha hiki Na kile kilichopita wiki mbili nyuma nijitolee kukushauri.

Kwahyo umepiga kazi chini?

Na wewe ni mbabaishaji tu, take it for nothing serious???????
 
Mimi hua naona Mabandiko yako ya nafasi za Kazi hapa. Nikushauri tu Ndugu, Nipo kwenye Industry Hii muda mrefu najua kampuni ambayo Ipo serious na Ipi inababaisha. Ukiona Kampuni haina hata Official Website, Email inatumia Gmail au Yahoo. Ujue Kuna Tatizo mahala, Yaani hiyo si Kampuni. Wewe Usichukulie watu kua kwa sababu wanatafuta Ajira na Wapo desperate na Ajira basi wafanye tu Kazi Kijingajinga. [HASHTAG]#Never[/HASHTAG] Ni Bora Tukubaliane basi kwamba najitolea kuliko tukubaliane Kulipana Mshahara halafu Usiweke kwenye Maandishi, Why Unaogopa Nini? Je hao waliyoondoka in less than a Month Pia wana matatizo? Acha Ujuaji Kaka. Au Unataka Niwataje hapa Uone kama hawatajitokeza Watanzania Wengine watakao Ilalamikia?
Hii mada ni hatari juzi juzi yalinikuta mtu katangaza ajira yupo mkoa mwingine alafu anataka mfanye kazi bila kumjua wala kufahamu office zao zilipo wala hakuna mkataba wowote kisa tu anaona upo na shida ya kazi ......uache hiyo tabia wewe mtu popote ulipo
 
Back
Top Bottom